by okoamombasa | Oktoba 19, 2022 | Habari
Okoa Mombasa imerejelea matakwa yake kwamba Bunge la Kaunti lifanye kikao cha hadhara kuhusu kubadilisha jina la bustani la “Mama Ngina Park.” Awali Okoa Mombasa iliwasilisha ombi kuhusu suala hilo mnamo Novemba 2019, mara tu baada ya bustani hiyo mpya...
by okoamombasa | Septemba 26, 2022 | Habari
Okoa Mombasa inapongeza notisi iliyochapishwa na Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA) hivi leo, ambayo ikitekelezwa ipasavyo, inafaa kurudisha huduma kamili za bandari Mombasa baada ya kutokuwepo kwa miaka zaidi ya mitatu. Notisi ya KPA inasema kwamba waagizaji bidhaa...
by okoamombasa | Septemba 21, 2022 | Habari
Okoa Mombasa leo imemtaka Rais William Ruto kugeuza mara moja – kwa maandishi – agizo la serikali linalotaka mizigo katika Bandari ya Mombasa kusafirishwa kwa kupitia Reli ya Standard Gauge (SGR). Rais Ruto alitangaza punde tu baada ya kuapishwa kama rais...
by okoamombasa | Mei 30, 2022 | Habari
Taarifa ya pamoja kwa vyombo vya habari kutoka Okoa Mombasa na TISA (The Institute for Social Responsibility) Iliwasilishwa tarehe 30 Mei 2022 na Wanjiru Gikonyo (TISA) kwa niaba ya TISA na Okoa Mombasa. Kama wengi wenu mnavyofahamu, tarehe 13 Mei, Mahakama Kuu ya...
by okoamombasa | Aprili 6, 2022 | Habari
Okoa Mombasa imejiunga na muungano wa zaidi ya Mashirika 15 ya Kiraia kuzindua Kampeni ya Okoa Uchumi – mpango ambao wenye lengo kuu la kukuza uwajibikaji katika usimamizi wa deni la umma nchini Kenya. Kampeni hiyo inasababishwa na hali mbaya ya usimamizi wa deni za...
by okoamombasa | Julai 7, 2021 | Habari
Okoa Mombasa, Jukwaa la Mashirika ya Kiraia ya Kenya kuhusu Mafuta na Gesi (KCSPOG) na Natural Justice Kenya wamewasilisha maoni ya pamoja kuhusu Rasimu ya Kanuni za Upatikanaji wa Taarifa (Jumla) za Kenya, 2021. Kanuni mpya zitabainisha jinsi Mashirika ya serikali...