Je, ukomo la deni la Kenya linawezesha mikopo kinyume ya katiba?

Aprili 20, 2023

Je, Kiwango cha juu cha deni la Kenya linawezesha serikali kukopa kinyume ya katiba na nje ya bajeti ya taifa?

Tazama risala hii kwa majadiliano. Iliwasilishwa kwa maafisa wa Hazina leo katika mkutano wa kushirikisha umma uliofanyika KICD jijini Nairobi.

Soma memorandum hio.

Share This