Habari
Okoa Mombasa yatangaza upya mahitaji ya kongamano la umma la kubadilisha jina la bustani la “Mama Ngina Park”
Okoa Mombasa imerejelea matakwa yake kwamba Bunge la Kaunti lifanye kikao cha hadhara kuhusu kubadilisha jina la bustani la...
Okoa Mombasa yapongeza notisi ya KPA ya kurejesha huduma za bandari
Okoa Mombasa inapongeza notisi iliyochapishwa na Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA) hivi leo, ambayo ikitekelezwa ipasavyo,...
Okoa Mombasa ya mtaka Rais Ruto kufutilia agizo kwa maandishi
Okoa Mombasa leo imemtaka Rais William Ruto kugeuza mara moja - kwa maandishi - agizo la serikali linalotaka mizigo katika...
Jukwaa la Maelekezo ya Uchaguzi: Juni 11 saa 9 asubuhi, Holistic Mission for all Nations Sanctuary Kiembeni
Okoa Mombasa atafanya Kongamano la wazi la Maelekezo ya Uchaguzi tarehe 11 Juni, 2022 kuanzia saa 9 asubuhi hadi adhuhuri...
Serikali inapaswa kuheshimu mahakama na kuweka wazi kandarasi za SGR
Taarifa ya pamoja kwa vyombo vya habari kutoka Okoa Mombasa na TISA (The Institute for Social Responsibility) Iliwasilishwa...
Okoa Mombasa na TISA kufanya mkutano na waandishi wa habari
Okoa Mombasa na Taasisi ya Uwajibikaji kwa Jamii (TISA) watafanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumatatu, tarehe...