Wasiliana nasi

TUFIKIE NA UUNGANE NASI

Je, umeathiriwa na kuzorota kwa uchumi wa Mombasa? Je, una wasiwasi kuhusu mustakabali wa Mombasa na Pwani kwa jumla? Je, unaamini kwamba maamuzi kuhusu rasilimali za Mombasa yanahitaji maoni kutoka kwa wakaazi?

Basi ungana nasi!

Tuma barua-pepe kwa okoamombasa@gmail.com na upata kujua zaidi unavyoweza kuungana nasi katika pambano hili, unaweza pia kutumia fomu ilio hapo chini.

Tunahitaji wahamasishaji wa jamii kusaidia kwa eneza shughuli hizi za Okoa Mombasa 

Unaweza pia kutupata kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook na Instagram ili kupata habari za hivi punde.

WASILIANA NASI

Je, una swali au maoni? Unaweza kuwasiliana nasi kupitia fomu iliyo hapa chini.

Pata ufahamu, endelea kushughulika!

Jiunge na orodha yetu ya wanaopokea barua pepe ili kupata taarifa za mara kwa mara kuhusu masuala yanayohusu Mombasa na Pwani.

Share This