Mkutano wa Uhusiano na Raia: Desemba 8 saa 9 asubuhi, Ukumbi wa Holi ya Tononoka

Disemba 6, 2021

Okoa Mombasa itafanya Kongamano la wazi la kushirikisha Raia tarehe 8 Des 2021 kuanzia saa 9 asubuhi hadi adhuhuri katika Holi la Tononoka. Wote mnaalikwa kuhudhuria.

Mkutano huu wa kijamii itaangazia mjadala wa kuhusu masuala yanayoikabili Mombasa. Njoo ushirikiane na wana Jamii wenzako, fikisha malalamiko yako na mawazo au njia ya kuyarekebisha.

Tuonane huko!

Share This